Jumanne, 25 Aprili 2017

Healing Song Band walivyohudumu katika EASTER CONFERENCE 2017

                                   Moja kati ya siku za Kambi la Pasaka (Easter Conference) la CASFETA-TAYOMI  lililofanyika katika Shule ya Mugeza Sekondari -Bukoba 2017 -Healing Song Band  Walihudumu kwa nyimbo mbalimbali kwa muziki wa moja kwa moja (Live Perfomance)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni